Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni: Njia Mbadala Za Matibabu Ya Kisasa

Overview

Publisher
Tektime
Released
September 21, 2023
ISBN
9788835454960
Format
ePub
Category
MEDICAL

Book Details

Tangu awali mbele zaidi ya 'taaluma ya matibabu' kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia.

Ninatumai ya kwamba utayaona maarifa yaliyomo kuwa ya manufaa. Tangu awali mbele zaidi ya 'taaluma ya matibabu' kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii, zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia. Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana. Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 19 za takriban maneno 500-600 kila sura.

Author Description

Owen Jones, Amazon Best-Selling Author from Barry, Wales, has lived in several countries and travelled in many more. While studying Russian in the USSR in the '70's, he hobnobbed with spies on a regular basis. After university, in Suriname, he got caught up in the 1982 coup, when he was accused of being a mercenary. Later, while a company director, he joined the crew of four as the galley slave to sail, from Barry to Gibraltar on a home-made concrete yacht during Desert Storm. En voyage, the yacht was almost rammed by a Russian oil tanker, and an American aircraft carrier - The Atlantic Challenger.

In 2004, he started his first novel, Daddy's Hobby (from the seven-part series 'Behind The Smile: The Story of Lek, a Bar Girl in Pattaya'), but he didn't finish it until 2012. However, his largest collection is 'The Psychic Megan Series', twenty-three novelettes on the psychic development of a teenage girl, the subtitle of which, 'A Spirit Guide, A Ghost Tiger and One Scary Mother!' sums them up nicely. However, since 2012, he has written fifty-odd novels and novelettes, including the military drama Dead Centre; the spy novel Andropov's Cuckoo; a fantasy Fate Twister; a philosophical vampire comedy The Disallowed; a whodunnit Tiger Lily of Bangkok; and Spiritualist drama, A Night in Annwn (Annwn being the ancient Welsh word for Heaven). Not only that, but many have been translated into foreign languages and narrated into audiobooks.

Since 2004, he has lived mainly in the UK, Spain and Thailand. He now leads a somewhat quieter life in his wife's remote, northern farming village writing, editing and increasing the number of translations, and narrations of his novels.

As he says: "Born in the Land of Song, living in the Land of Smiles".

Read this book in our EasyReadz App for Mobile or Tablet devices

To read this book on Windows or Mac based desktops or laptops:

Recently viewed Books

Help make us better

We’re always looking for ways to improve. If you’ve got feedback or suggestions about how we can do better, we’d love to hear from you.

Note: If you’re looking to solve a problem with your URMS eReader, app, or purchase, visit our Help page, or submit a help request.

What is the purpose of your visit?
Did you accomplish your goal?
Yes No
Where can we improve?
Your comments*